Je, kuandika ni kitu rahisi kama wengi wanavyo dhani? Lahasha, sivyo. Lakini tunaandika tukiwa na dhamira njema ya kuona tunapata na kufikia mabadiliko chanya katika jamii yetu. Ninapokosea na kuvuka mipaka, tafadhali nisaidiwe. Unapomaliza kusoma kila makala humu, usisahau kutoa maoni yako chini, bonyeza pale palipoandikwa 'toa maoni'